MSANII
wa kike anayetesa kwenye Bongo Fleva, Esterlina Sanga ‘Linah’ ametoa
mpya baada ya kuibuka na kueleza wazi kuwa, awapo faragha hapendi
kutumia kinga.Linah alisema hayo wakati akizungumza na mwakilishi wa kona hii
jijini Dar es Salaam wikiendi iliyopita, ambapo alisisitiza kuwa
anachukia sana mipira ya kike na kiume wakati wa tendo kwa vile
zinamkata stimu.
“Sema naogopa ukimwi na magonjwa mengine ndiyo maana nalazimika kutumia kwa ajili ya afya yangu lakini kiukweli kabisa, sipendi kabisa kinga,” alisema Linah.
Hivi karibuni, gazeti hili liliripoti habari ya staa huyo wa muziki kudungwa mimba na mdosi kabla ya siku chache baadaye kugundulika kuwa, kiumbe chake kilichoropoka.

1 comments:
ujinga mtupu
ReplyPost a Comment