Mjumbe
wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Mbunge wa Singida mjini, Ndg.
Mohammed Dewji (wa pili kushoto) akiteta jambo na baadhi ya Wajumbe
wenzake wa Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma leo wakati wa sherehe
fupi za kuapishwa kwa wajumbe hao.
Mjumbe wa Bunge Maalum la
Katiba Ndg. Mohammed Dewji akila kiapo mbele ya Mwenyekiti wa Bunge
Maalum la Katiba Ndg. Samwel Sitta mjini Dodoma.
Mjumbe wa Bunge Maalum la
Katiba Ndg. Mohammed Dewji, akipeana mkono na Mwenyekiti wa Bunge
Maalum la Katiba Ndg. Samwel Sitta mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Bunge
Maalum la Katiba Ndg. Samwel Sitta, akimkabidhi vitendea kazi Mjumbe wa
Bunge Maalum la Katiba Ndg. Mohammed Dewji.
Post a Comment