Daktari akiwa amezamisha kidole chake kwenye jeraha la Ndugu Richard wakati alipokuwa akimsafisha kidonda baada ya tukio hilo.
Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Kalenga, kwa taarifa zisizo rasmi zinasema Wanaodhaniwa ni Vijana wa CCM wamchoma kisu cha Mbavu Ndugu Richard ambaye ni M/Kiti wa Tawi la CHADEMA la Kijiji cha Tagamenda siku moja tu baada ya Mama Mzazi wa Kijana huyo ambaye alikuwa Mjumbe wa Serikali ya Kijiji hicho kwa tiketi ya CCM kuamua kuhamia CHADEMA kwa madai ya kuchoshwa na siasa zisizokuwa na mwelekeo za Chama hicho!!!!
Post a Comment