Anaitwa aisha moja ya wasanii wa singida waigizaji wanaofanya vizuri nyumban na nje ya nyumban
Moja ya wanaoiwezesha mo tv iendelee kuwepo anaitwa rose zungu ni mtu mzuri sana mungu ampe maisha marefu
Anaitwa tizo na dsammy moja ya wasanii wa kuimba mkoan singida
Wasanii wa nyumban
Location nyumban film maeneo ya uhasibu singida mjin
Anaitwa essau lingowe moja ya wasanii wa nyumban film akiwa na mohamed funga funga al maarufu jengua ktk moja ya kaz zao
Baadhi ya wasanii wa nyumban film singida
Wasanii wa nyumban film wakiwa ktk moja ya kaz yao ya promise of pain kila mmoja akiwa anamtaka huyu dada
Post a Comment