…akiwafariji wakina mama waliofiwa na watoto wao baada ya kujifungua.
Baadhi ya wakina mama wakiwa na watoto wao.
Baadhi ya wakina mama wakiwa na watoto wao.
Muuguzi, Agnes Temu akiwaongoza Team Wastara kwenda wodini
….akiwa kwenye pozi na wauguzi wa wodi ya wajawazito.
Ndugu na marafiki wa wastara wakiwa wodini.
….akiwa kwenye pozi na wauguzi wa wodi ya wajawazito.
Ndugu na marafiki wa wastara wakiwa wodini.
Wastara akiwa dukani akinunua baadhi ya vitu kwa ajili ya watoto.
…akigawa vitu hivyo katika mifuko.
Team Wastara wakiwa katika pozi.
Baadhi ya vitu vikiwa ndani ya buti la gari ya Wastara.
Wastara akiwa katika pozi tofauti.
…akigawa vitu hivyo katika mifuko.
Team Wastara wakiwa katika pozi.
Baadhi ya vitu vikiwa ndani ya buti la gari ya Wastara.
Wastara akiwa katika pozi tofauti.
MKONGWE katika kiwanda cha sanaa ya maigizo Wastara Juma, leo amesherehekea siku yake ya kuzaliwa pamoja na watoto 40, waliozaliwa katika hospitali ya Amana kuanzia saa sita ya usiku mpaka leo.
Sherehe hiyo ameifanya kwa kushirikia na timu yake (TEAM WASTARA) kwa kupeleka vitu mbalimbali kama nguo za watoto, sabuni, pempasi na vinginevyo katika wodi ya wajawazito iliyopo hospitali ya Amana Ilala, jijini Dar es Salaam.
Post a Comment