Akipiga story katika jukwaa la fiesta 2014 iliyofanyika katika uwanja wa mpira wa namfua,alisema wanawake wa singida ni wazuri sana moja ya sifa alioitoa kuhusiana na wanawake wa singida ni weupe sana hasa wa kabila la kinyiramba pia wacheshi na wakarimu.alimaliza kwa kuongea kinyiramba (izaa,mkoleeeeee na mwisho songela zigi zigi)
-habari na mwandishi dsammy mo tv
Post a Comment