Anaitwa kazi ni moja ya wasanii wa kundi la vituko show kwa sasa yupo na wasanii wenzake mkoani sgd wakisamabaza kazi zao,mo tv ilibahatika kupiga stori na wasanii hao ktk kipindi cha live na haya ni machache alioongea kazi-kiukweli sisi tumeamua kusambaza kaz zetu sababu tumekuwa tunadhulumiwa sana,utakuta umepeleka master kwa tajiri anakutolea kopi labda 1000 anakukabidhi lakini kumbe yeye anatoa hata kopi 5000 ye anapata faida kingine
tunapotembeza wenyewe faida ni kubwa sana kwa hiyo kwa sasa hatuhitaji kuuziwa kazi zetu tunasambaza wenyewe.alimaliza kwa kusema endapo akimkuta mtu machinga anauza kazi zao ambazo hazina muhuri wao kazi anasema huyo mtu atajua kwa nini kazi alizaliwa mfupi.
Wasanii wa vituko show wakiwa ndani ya mo tv baada ya kipindi live,mazila,kazi,fundi mkuu wa mo tv martin kahuka na mtangazaji d,sammy
Post a Comment