Featured

    Featured Posts

Loading...

MWANAFUNZI WA DARASA LA TANO AGONGWA NA GARI NA KUFA,KIBAONI MKOANI SINGIDA

Ajali mbaya imetokea maeneo ya sokoine mwanafunzi wa darasa la tano shule ya msingi kibaon agongwa na gari na kupoteza maisha hapo hapo alipokuwa anavuka barabara akitokea kanisan,ni huzuni,majonzi na huruma mungu isaidie familia ya wafiwa katika kipindi hiki kigumu
 
Mzazi pamoja na ndugu wa kijana aliyegongwa na gari baada ya kupewa taarifa walifika na kutoamini na kushindwa kutembea hapa wakisaidiwa na wasamaria wema.
 
-HABARI NA MWANDISHI NA WA MO TV DSAMMY
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright SINGIDA KWETU
Back To Top