Featured

    Featured Posts

Loading...

SEMINA YA FURSA 2014 YAFANYIKA MJINI SINGIDA


 Baadhi ya Washiriki wa Semina ya Kamata Fursa, Jitathimini, Jiamini Jiongeze wakifuatilia yaliyokuwa yakizungumza ndani  ukumbi wa hoteli ya KBH, ilioko nje kidogo ya mji wa Singida.
Baadhi ya watoa mada mbalimbali katika semina hiyo wakiwa meza kuu.
 Baadhi ya Vijana walioitumia Fursa ya kutengeneza fulana za tamasha la Fiesta baada ya kubaini kuna uhaba mkubwa wa fulana hizo.
  Baadhi ya Washiriki wa Semina wakiwa wamenyoosha mikono juu wakiunga mkono moja ya mada iliyokuwa ikizungumza kwenye semina hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa hoteli ya KBH,ilioko nje kidogo ya mji wa Singida.

 Muonekano wa ukumbi mlimofanyika semina ya Fursa 2014 mapema leo asubuhi.

 Baadhi ya Washiriki wa Semina ya KamataFursa,Jitathimini, Jiamini ,Jiongeze wakiwa ndani ya ukumbi wa hoteli ya KBH,iliyoko nje kidogo ya
mji wa Singida.
Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya kutoka kundi la Hip hop lijulikanalo kwa jina la WEUSI, Niki wa Pili akizungumza mbele ya mamia ya washiriki wa semina ya fursa iliyofanyika katika hoteli ya KBH nje kidogo ya mjini wa Singida, Niki amewataka vijana mbalimbali kuhakikisha ndoto zao haziishii njiani na badala yake wazifanyiekazi ili kujiletea maendeleo katika maisha yao ya kila siku,pia amewataka kuitumia vyema fursa wanayoipata katika njia mbalimbali.
 Mmoja wa washiriki akiulaza swali.
Mkurugenzi wa kampuni ya Automobile Garage, Joseph Msuya akifafanua jambo.
Baadhi ya Washiriki wa Semina wakiwa ndani ya ukumbi wa hoteli ya KBH.

 Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba akifafanua jambo kwa washiriki (hawapo pichani).

 Mmoja wa washiriki akiuliza swali.


 Mwakilishi kutoka Shirika la Taifa la hifadhi ya Jamii (NSSF), Bwa.Ally Mkulemba akizungumza faida mbalimbali za kujiunga na shirika hilo la NSSF.

 Msanii wa Bongo Fleva, Baba Levo ni mmoja wa mabalozi wa shirika hilo la NSSF akielezea yeye na wasanii wenzake wanavyonufaika na fursa mbalimbali zipatikanazo na shirika hilo.
 Baadhi ya Washiriki wa Semina ya wakimsikiliza Msanii Mrisho Mpoto.
(PICHA NA MUSA MATEJA/GPL)
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright SINGIDA KWETU
Back To Top