Msanii wa Bongo Fleva, Linnah Sanga akifanya vitu vyake stejini katika Serengeti Fiesta Singida usiku wa kuamkia leo.
Linnah akilishambulia jukwaa.
Nyomi baada ya kukongwa nyoyo na burudani za Serengeti Fiesta Singida.
Staa wa Bongo Fleva, Dully Sykes akitumbuiza katika Tamasha la Fiesta usiku wa kuamkia leo.
Msanii wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego akilishambulia jukwaa.
Mashabiki waliojitokeza katika Serengeti Fiesta.
(PICHA NA MUSA MATEJA/GPL, SINGIDA)
Post a Comment