Featured

    Featured Posts

Loading...

Mtangazaji ambaye pia ni mjasiriamali, Maimartha Jesse amewaponda mastaa wa Bongo Muvi wanaotoka kimapenzi na vijana wadogo ‘Serengeti Boys’ akidai kuwa wanajichoresha.
Mtangazaji ambaye pia ni mjasiriamali, Maimartha Jesse.
Akipiga stori na Ijumaa hivi karibuni, Mai alisema anawashangaa baadhi ya mastaa hao kutoona aibu kutangaza kuwa wanatoka na Serengeti Boy huku wakionekana maeneo mbalimbali wakiponda raha.
“Mimi mpaka naogopa na nawaonea huruma kwani hali ni mbaya jamani, watoto wadogo wanatoka na wasanii waliowazidi sana kiumri, yani imekuwa ni kama fasheni sasa, huku ni kujichoresha,” alisema Mai.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright SINGIDA KWETU
Back To Top