Msanii maarufu kutoka kundi la Vchekesho Original Komedy
aliye kubalika sana kupitia kazi ya ‘Mdebwedo’ na ‘Jibwakoko’ Lukasi
Mhavile aka Joti, ambaye ameonekana kuwa mpinzani mkubwa wa Timu ya
Manchester United ambaye ameamua kuwaongeza machungu mashabiki watimu
hiyo,kwa msemo huu
,”Kwa hii speed ambayo Man U wanashuka nayo kwenda chini mdasi mrefu watagundua mafuta na gase”
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
Post a Comment