Akitema madini mbele ya kinasa sauti cha Ijumaa Wikienda mwishoni mwa wiki iliyopita, Steve alisema atagombea kupitia Jimbo la Kinondoni, lakini ieleweke kuwa hatotumia fedha katika kampeni zake.
“Saundi (maneno) ndiyo kila kitu, ukiongea na watu vizuri na wakakuelewa, hakuna kitakachoshindikana, nitaibuka na ushindi mzito tu, vuteni subira watu wangu,” alisema Nyerere.
CREDIT:GPL
Post a Comment