Dj spance kushoto akiwa na dj dsammy
Dj spence na dj dsammy.ni ma dj wa mkoa wa
sgd.wakiongelea hali halisi ya maisha ya kazi ya udj kila mmoja aliongea
mtazamo wake.dj spence alikuwa na haya ya kusema-kiukwel maisha ya udj
kwa mkoa wa sgd hayana faida yeyote ila tunafanya kwa
kuwa ni moja ya kaz ambayo ipo ktk damu.baada dj spence kusema yake dj
dsammy alikuwa na haya ya kusema-sisi madj ndio tunasababisha hii kaz
isionekane kama inafaida sababu madj wa sgd tunadharauliana na kuna
wengine hujiona wabora kuliko wengine na wengi wao hawachukulii kama
kazi wanaona kama ndo kigezo cha kupatia wanawake na sehemu ya
anasa,madj hawana umoja hawana vikao ikitokea kazi dj akaitwa sehemu na
makubaliano yakashindikana labda hela ndogo akiitwa mwingine anaenda na
anakubali kwa kupewa pesa ndogo zaidi.dj huwez kukesha kwa malipo ya
elfu 5 tena huna mshahara lzm tujue umuhimu wa kazi yetu.
-Cretid: Dsammy kupitia MO TV
Post a Comment