ANAITWA FRED SWAGG ni moja ya wasanii watokao singida wanaofanya kazi ya mziki
Dsam mwendesha kipindi cha MO TV akifanya maojiano na msanii wa bongo fleva Rich Mavoko
Wasani wa maigizo wakiwa kwa pamoja baada ya kutoka mazoezi - picha na DSam MO TV
wasanii wa mkoa wa singida wanaofanya vizuri kwa nyumbani,young boi sniga,chally plow na aj wa mjengoni
father anaesababisha mo tv iwepo hewani mungu akubarik mzee wangu akupe maisha marefu - Picha na Dsam
Post a Comment