Mkuu wa wilaya queen mlozi akifika eneo la tukio
kiwanda cha mount meru mkoani singida chawaka moto,moto ulianza saa 4
usiku mpaka asubuhi na bado ulikuwa unawaka mpaka kufikia
mchana.akiongea na waandishi wa habari mkuu wa wilaya queen mlozi
alisema alipata taarifa usiku na kuomba msaada kwa zima moto wa manyara
ambao walifika saa moja asubuhi na
gali la zima moto na watu wakizima moto
kusaidiana na zima moto wa singida
alisema chanzo cha moto ni kwamba mashudu huwa yakipata joto huwa
yanawaka na pia baadhi ya mashuhuda wamesema moto ulikuwa mkubwa sana
wamejitahidi lakini walizidiwa nguvu na zima moto la mkoa wa singida
lilipofika lilikuwa peke yake na ni dogo wanaioomba serikali kuliangalia
hili jambo maana singida nakuwa na viwanda vimekuwa vingi.
mfanyakazi wa zima moto akizima moto
wafanyakazi wa zima moto wakiendelea na juhudi za kuzima moto
-HABARI NA MWANDISHI WA MO TV SINGIDA - DSAMMY
Post a Comment