Fisi akiwa ndani ya gali la polisi baada ya kuwawa na wananchi
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mnyama fisi alionekana maeneo ya soko kuu mjini singida na kuzua tafrani kwa wananchi,fisi huyu aikujulikana alipotokea bali wananchi walishitukia fisi yupo katikati ya mji maeneo ya soko kuu, hali iliyopelekea kuto fahamu kwa wananch,lakini wananchi walifanikiwa kumuua fisi huyo
-HABARI NA MWANDISHI WA MO TV - DSAMMY
Post a Comment