Mheshimiwa hassani mazala mjumbe wa halmashauri kuu taifa aanza ziara yake ktk kata za singida,ktk ziara hiyo azindua mashina na kugawa kadi kwa wanachama wapya akiongea ktk ziara hiyo na wananchi waojitokeza kwa wingi ktk mashina yao asisitiza watu kuunda vikundi vitakavyowasaidia katika
kujikwamua na hali ya uchumi asema ni ngumu kumsaidia mtu mmoja mmoja ila wanapokuwa kikundi
inakuwa rahisi kutambulika na kusaidiwa asisitiza vijana kujitambua na kutokusikiliza maneno ya watu wanao katisha tamaa kuhusiana na chama,aomba wananchi kujitokeza na kukipigia kura chama cha mapinduzi na kuwa na imani na chama sababu viongoz wa chama hiko wako makini
-HABARI NA MWANDISHI WA MO TV DSAMMY
Post a Comment