Kampuni ya Clouds Media Group imeamua kuwa karibu zaidi na wasikilizaji wake kwa kuanzisha newsletter ya kila mwezi itakayokuwa ikiangaza mambo yanayoendelea mjengoni hapo.
Maelezo yaliyotolewa na kampuni hiyo yanasema:
Clouds Media Group wanakuletea Mjengoni newsletter, kila mwezi pata kujua undani wa kile kinachotokea ndani ya Clouds, kuanzia vipindi vyetu, watangazaji, uandaaji wa vipindi
mbalimbali. This month Jumatatu ya tarehe 11, newsletter itakuwa imesambazwa katika mabasi kadha wa kadha ya kwenda Arusha, Mbeya, Kilimanjaro, Nairobi, Zambia, Mwanza, Morogoro na Kampala. Pia Mjengoni newsletter itapatikana Mlimani City, Quality plaza, na kwenye baadhi ya hotel hapa town, pia na ndani ya jarida la Kitangoma.
Newsletter hiyo itakuwa ikitolewa bure.

Post a Comment