Featured

    Featured Posts

Loading...

NISHA AFUMUA SIRI YA KUPENDWA

Nilichojifunza kwenye tasnia yetu ya kuigiza ni kwamba,mashabiki wanapenda sana kazi kuliko scandle ndio maana mitaani wananiita majina ya kazi kwa mfano. Tulinave,Pusi,Anjiwike,Betina n.k na kukubali kazi sana… Na ndio maana nlivyolileta neno pyeeeee likashika kasi…
 
 Alhamdulillah M’Mungu niongoze nisibadilike niepushe na mascandals ya dunia hii,yalopita yamepita muhimu nimejitambua Alhamdulillah na niwe na bidii ya kazi,kuwa mbunifu wa kazi nzuri kila kukicha,nisibweteke,nijifunze zaidi na zaidi na kuwafurahisha mashabiki zangu wapenzi na kuwaheshimu daima milele ili wanipende zaidi AMEN.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright SINGIDA KWETU
Back To Top