Mtangazaji wa Kipindi cha Ala za Roho ya Clouds fm Diva Loveness Love ni mtangazaji wa kwanza mwenye umri mdogo tena akiwa kazini kuanzisha Taasisi ya Kuchangisha na kusaidia Watoto yatima na wasiojiweza nchini Tanzania, Taasisi hiyo inaitwa Diva Giving For Charity aliianzisha miaka mitatu iliyopita, kwasababu alivyokua mdogo alikua akiangalia Television alikua akiona vipindi vinavyoonesha watoto wadogo wanateseka ndio akaapa kuwa akiwa mkubwa atafanya kazi ya watoto wa mtaani, yatima na wasiojiweza, tayari ameshasaidia Kituo cha Almadina Children Home kwa kuungana na wasanii kutoka Tanzania House of Talent, Makamua, Stopa Rhymecca, Nash Mc na Mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe na watanzania wengine hiyo ilikua mwaka jana, na mwaka huu wiki kadhaa zijazo ataenda kwenye kituo hicho kupeleka misaada mingine, Kupitia Mtandao wake Facebook Diva ameandika kama ifuatavyo…..
“Twenzetu Kigogo 2014 ….. Changia tigo Pesa 0713 894746 kutoa ni Moyo na wala sio Utajiri. Ni jumamosi hii hapa…..Kama una chochote fikisha katika ofisi za cloudsfm as well. thank you – Diva Giving for charity. Celebrating 3 years…
Mtangazaji Mwingine ambaye ana taasisi kama hiyo ni Marehem Amina Chifupa R.I.P Twenzetu Kigogo 2014 ….. Changia tigo Pesa 0713 894746 kutoa ni Moyo na wala sio Utajiri. Ni jumamosi hii hapa…..Kama una chochote fikisha katika ofisi za cloudsfm as well. thank you – Diva Giving for charity. Celebrating 3 years…aliyewahi kuwa mbunge na mtangazaji wa Cloudsfm, Taasisi hiyo inaitwa Amina Chifupa Foundation na ilianzishwa wakati tayari ameshatutoka duniani.
Post a Comment