Featured

    Featured Posts

Loading...

PICHA INATISHA...KIJANA AFARIKI GHAFLA BAADA YA KULIPULIWA NA SIMU....!


Taarifa iloenea sehem tafauti za mji wa Zanzibar:-
Kuna kijana anajulikana kwa jina   la Ally mkazi wa Michenzani (Kiswandui)jirani na kwa bi mkubwa stadi umri wake miaka 22 amefariki ghafla maghribi ya leo,taarifa zilopatikana sababu ya kifo chake ni kuwa :-

Alikuwa akicharge simu yake kwa kutumia laptop na wakati huo huo alikuwa anazungumza na mtu kupitia simu hiyo,baada ya cmu kupata joto kali(over heat),simu hiyo ilimripukia na kumuathiri sehemu za mikono,uso hasa upande aloweka simu hiyo na kupelekea kufariki dunia.??? ??? ???? ???? ????? Maziko kesho inshaallah saa 4 msikiti wa Gongoni tafadhali sambaza ujumbe huu kwa wote ili sisi tulio na tabia kama hiyo tuiwache mara moja.Allah amsameh dhambi zake na amuingize peponi kijana Ally 
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright SINGIDA KWETU
Back To Top