Featured

    Featured Posts

Loading...

RECHO: NIMEACHA UTOTO



Mwigizaji wa sinema za Kibongo, Rachel Haule ‘Recho’.

MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Rachel Haule ‘Recho’, amefunguka kuwa ameona umri umeanza kumtupa mkono hivyo ameacha kufanya matukio ya kitoto ambayo alikuwa akiyafanya kipindi cha nyuma.Pasipo kuainisha matukio ya utoto aliyoyafanya, Recho alisema:

“Nimekua sasa, yale mambo ya kitoto tupa kule sasa naangalia zaidi kazi ambazo naamini zitaniwekea heshima.”

author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright SINGIDA KWETU
Back To Top