Featured

    Featured Posts

Loading...

WASANII BONGO HAWAJUI MAANA YA BIFU- BABY


MkaliI wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph ‘Baby Madaha’.

MKALI wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph ‘Baby Madaha’ amefunguka kuwa wasanii wengi wa Kibongo hawaelewi maana ya bifu na faida zake.

Baby alisema wasanii wanapaswa kuiga mifano ya wasanii wa nje, wanaotumia bifu kuongeza mkwanja na umaarufu pia.
“Hapa wanaendekeza majungu, wenzetu wakikosoana kimuziki, wanatengeneza kiki ya kibiashara na baadaye wanaitumia kuingiza chapaa, hawachukiani kutoka moyoni ila wanakosoana kiukweli,” alisema Baby.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright SINGIDA KWETU
Back To Top