Picha tofauti zikionesha aliyekuwa staa mkongwe wa sinema za Kibongo, David Manento ‘Mzee Manento’ (73) enzi za uhai wake.
Godfrey alimwambia mwanahabari wetu: “Siku za mwisho za mzee wetu
kama alikiona kifo kwa sababu alikuwa akisema jamani mimi naona kama
sitapona.”Mwili wa Mzee Manento ulitarajiwa kupumzishwa kijijini kwake, Mamba-Miamba wilayani Same, Kilimanjaro.
Mzee Manento ameacha watoto tisa akiwa ameigiza filamu nyingi zikiwemo Hero of the Church, Dar To Lagos na Fake Pastors.
Post a Comment